JINSI YA KUTAMBUA WAZO LA BIASHARA
Jinsi ya kutambua wazo la biashara
Watu wengi wanashindwa kutambua biashara nzuri ya kufanya ambayo inaweza kumuingizia kipato kizuri kabisaa na wanadiriki kuiga vitu ambayo Fulani kafanya na kufanikiwa ambacho sio kitu kizuri kikawaida huja kukufelisha mbele ya safari kwasababu hujajua amepitia njia gani mpaka kufikia pale alipo,pia huwa inakuwa vigumu kupambana na changamoto ambazo zitajitokeza ukiwa katika safari yako ya mafanikio .watu wengi wameshindwa kutambua kwamba ujasiliamali na biashara ni kama mtu kujitoa kafara ya kifo sababu ya kusema hiyo sentesi ni kwamba huwa katika biashara na ujasiliamali hasara kubwa hujitokeza Mara kwa Mara ambapo panahitaji uwe na roho ya paka ndugu zangu.zifuatazo ni mbinu za kutambua biashara muhimu ya kujihusisha nayo
1.Talanta au kipaji ambapo kila mmoja anakipaji ambacho amezawadiwa na muumba,hii ni njia rahisi sana ya kutambua biashara sababu ni kwamba utambuzi wa kipaji ni mtu mwenyewe kujitambua yeye ni nani kwa mfano mwanamuziki mchezaji wa mpira inaweza kuwa football au basketball na pia biashara , utambuzi wa mambo mbali mbali ambapo mtu mwenye kipaji cha kitu fulani ni rahisi sana kufanikiwa hii ni sababu kwamba kipaji kipo ndani ya damu.
2.uzoefu wa mtu katika jambo Fulani hii pia ni njia rahisi sana kwa kila mtu kutambua ni sehemu gani ambayo anaweza kuwekeza mda wake na pesa kwa matokeo mazuri kabisaa kwa mfano mtu anaweza kua na uzoefu kwenye kilimo,biashara ,ufugaji,matibabu ambapo unaweza kuwekeza .kila mtu ana uzoefu juu ya shughuli Fulani cha kufanya ni kujichunguza vizuri sehemu gani muhimu ya wewe kuwekeza mda wako bila hasara yoyote.
3.Taaluma mtu aliyo somea watu wamejihusisha na usomi wa taaluma mbali mbali ambapo wanaweza kuwekeza katika taaluma zao na kufanikiwa kwa mfano umesoma kuusu sheria unaweza fungua ofisi ya wakili binafsi,pia kuusu udactari unaweza fungua zahanati kulingana na eneo ulilopo, ualimu unaweza kuanzisha shule ambapo inaweza kuanza na chini kabisaa kwa mfano kwa kufungua shule za chekechea .
4.utatuzi wa matatizo yaliyopo katika eneo unalo ishi kama kuna uhalifu wa Mara kwa Mara unaweza kuanzisha kampuni ya ulinzi na usalama ,pia kama kuna tatizo la maji pia unaweza anza na uuzaji wa maji, pia kama kuna tatizo la umeme unaweza anza na uuzaji wa sola katika eneo husika.

Maoni
Chapisha Maoni