MBINU ZA UKUAJI WA BIASHARA YAKO
Mbinu za kukuza biashara
Wote tunafahamu kwamba biashara inachangamoto nyingi sana ikiwemo hii ya ushindani ambayo imeletwa baada ya watu wengi sana kujihusisha katika ufanyaji biashara na kupelekea kuwepo kwa matabaka ndani ya wafanya biashara ambapo kuna wale ambao wameendeleza biashara zao vizuri na kufikia sehemu sahihi na pia wale ambao bado kabisaa wapo chini sana katika biashara zao na kuleta hoja mbali mbali dhidi ya wao waliofanikiwa ikiwemo kwamba wanajihusisha na ushirikina hapana ndugu zangu biashara hukua kulingana na jitihada zako mwenyewe. Hizi ni mbinu kuu tano zinazoweza kukuza biashara yako kutoka hali ya chini au kati mpaka kwenye kilele,
1.Mtaji wa kutosheleza biashara yoyote inahitaji mtaji wa kutosha ambapo mtaji hufanya kazi ya kujumua bidhaa,usafirishaji wa hizo bidhaa ,kuwalipa wafanyakazi ambao wameajiliwa ndani ya hiyo biashara,mtaji ni kiini cha biashara yako endapo mtaji wa biashara yako utapotea basi hicho ndo kifo au kudidimia kwa biashara uliyonayo.
2.Ubunifu katika biashara yako hii ni mbinu ambayo wafanya biashara wengi wamekosa na wamesababisha anguko la biashara zao, kuna wafanya biashara amabo wanarasilimali zote lakini ubunifu haupo katika biashara zao.ubunifu ni kitendo cha kuboresha huduma Fulani au kuongeza kitu ambacho mwanzo kilikua hakipo ndani ya biashara Fulani.Ubunifu katika biashara huwavutia wateja wengi sana na kusababisha ongezeko la wateja katika biashara yako kwa mfano una saloon ya kike basi weka vipodozi mbali mbali mawigi fashion mbali mbali ,pia punguzo la bei katika biashara yako utafanikiwa.
3.Mahesabu ya kila siku ili biashara yako iwe na safari iliyo imara basi itakubidi uwe na mahesabu ya kila siku ambapo inahitaji kila unacho uza na kukopesha kinaandikwa kwa maandishi na baadae mahesabu ya biashara hufanyika wakati wa jioni ambapo hii husaidia kujua mauzo ya siku husika,maendeleo ya biashara na faida na hasara iliyopatikana wakati wa biashara hiyo.
4.Uuzaji wa bidhaa ambazo ni hafifu(adimu) katika eneo husika la biashara hii ni mbinu ambayo inahitaji uchunguzi maridadi kabla ya kufanya maamuzi ya kufungua biashara yako ukiuza bidhaa ambazo ni adimu katika eneo husika basi utawatatulia matatizo watu wengi pia na kuwavutia watu wengi sana katika biashara yako na hivyo kuongeza wateja na kukuza biashara yako.
5.Uboreshaji wa huduma kwa wateja wako wazungu wanasema good customer care ambayo inachukua nafasi kubwa sana katika ukuaji wa biashara yako hii ni kwa sababu wateja ndo chachu ya maendeleo ya biashara yako kwa mfano wateja wakifika katika biashara yako wanacheleweshwa kupatiwa huduma hii inaweza kua sababu ya kudidimia kwa biashara yako kua makini sana na wateja wako.

Maoni
Chapisha Maoni