Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2017

FAHAMU NJIA ZA KUANDAA MAZINGIRA YA MAFANIKIO KATIKA MAISHA YAKO.

                   Fahamu Uandaaji wa njia nzuri za mafanikio                     Mafanikio katika maisha huandaliwa mapema kabisaa na hayatokei kama bahati mbaya kwa mtu fulani bali huja ni kwasababu ya maandalizi mazuri ambayo mtu amejiwekea na maandalizi yanatakiwa kufanyika mapema sana yani wakati huu wa ujana,kwa ushauri ndugu zangu ujana ni bahati ambayo wengi tumezawadiwa lakini tukitazama kwenye matumizi tunautumia ujana wetu vibaya sana kwa mfano fikiria matajiri wakubwa Tanzania na Africa ambao ni Aliko Dangote,Mohammed dewji,said salim bakhresa,Reginald mengi wangefika walipo  kama wangezitumia nafasi za ujanawao vibaya jibu ni hapana basi tujenge urafiki mzuri kati ya ujana wetu na mafanikio katika maisha yetu.hizi ni njia tano za kuandaa mazingira mazuri ya mafanikio,                 1.kujiwekea malengo kwa kila mwenye nia y...

MBINU ZA UKUAJI WA BIASHARA YAKO

                Mbinu za kukuza biashara                            Wote tunafahamu kwamba biashara inachangamoto nyingi sana ikiwemo hii ya ushindani ambayo imeletwa baada ya watu wengi sana kujihusisha katika ufanyaji biashara na kupelekea kuwepo kwa matabaka ndani ya wafanya biashara ambapo kuna wale ambao wameendeleza biashara zao vizuri na kufikia sehemu sahihi na pia wale ambao bado kabisaa wapo chini sana katika biashara zao na kuleta hoja mbali mbali dhidi ya wao waliofanikiwa ikiwemo kwamba wanajihusisha na ushirikina hapana ndugu zangu biashara hukua kulingana na jitihada zako mwenyewe. Hizi ni mbinu kuu tano zinazoweza kukuza biashara yako kutoka hali ya chini au kati mpaka kwenye kilele,                             1.Mtaji wa kutosheleza biashara yoyote inahitaji mtaji wa kutosha ambapo mtaji huf...

JINSI YA KUTAMBUA WAZO LA BIASHARA

                                       Jinsi ya kutambua wazo la biashara                   Watu wengi wanashindwa kutambua biashara nzuri ya kufanya ambayo inaweza kumuingizia kipato kizuri kabisaa na wanadiriki kuiga vitu ambayo Fulani kafanya na kufanikiwa ambacho sio kitu kizuri kikawaida huja kukufelisha mbele ya safari kwasababu hujajua amepitia njia gani mpaka kufikia pale alipo,pia huwa inakuwa vigumu kupambana na changamoto ambazo zitajitokeza ukiwa katika safari yako ya mafanikio .watu wengi wameshindwa kutambua kwamba ujasiliamali na biashara ni kama mtu kujitoa kafara ya kifo sababu ya kusema hiyo sentesi ni kwamba huwa katika biashara na ujasiliamali hasara kubwa hujitokeza Mara kwa Mara ambapo panahitaji uwe na roho ya paka ndugu zangu.zifuatazo ni mbinu za kutambua biashara muhimu ya kujihusisha nayo        ...

TABIA TANO HATARISHI ZINAZOWEZA KUKUONDOA KATIKA NJIA YA MAFANIKIO

                   Tabia tano hatarishi zinazoweza kukuondoa katika njia ya mafanikio         Mafanikio katika maisha hutokana na mienendo ya kila siku ya mwanadamu kama mienendo yako sio sawa basi nafasi ya mafanikio ni ndogo sana  (nelson Mandela)na pia kuzaliwa maskini sio kosa lako Bali kufa angali maskini hilo ni kosa lako mwenyewe(bill gate),kitu ambacho kila mwanadamu anapaswa akitambue ni yeye ni nani nikimaanisha una talanta gani ,mungu kakuzawadia nini kama ni kipaji cha mziki, kama ni kipaji cha mpira, biashara ,mtaalamu wa urembo na mitindo mbali mbali,n.k ukisha jitambua inakupa urahisi wa kupata mafanikio kwasababu utawekeza nguvu yako yote kwenye kitu ambacho kipo ndani ya damu.           Tukianza uchambuzi wa tabia moja baada ya nyingine kama mtu atatilia maanani na kuchukua hatua hakika ndugu yangu utafanikiwa,                 ...

MAANA YA NENO BIASHARA NA FURSA KUU TANO MUHIMU

Picha
Maana yaneno biashara           Biashara ni neno ambalo sio geni kwKhufumasikio ya watu wengi sana, wanafalsafa mbali mbali duniani na watambuzi wa mambo wanasema kwamba mwanzo yaani miaka ya nyuma wakati ule ambapo watu walikua wachache sana msingi wa biashara ulikua ni kuuza na kununua bidhaa hiyo ndio ilikua biashara ya miaka ya nyuma, lakin sasa ndani ya karne hii ya ishirini na moja watu wameongezeka dunia na ongezeko la watu duniani limepelekea kuongezeka kwa matatizo mbali mbali ikiwemo magonjwa, uchafuzi wa mazingira kwa njia mbali mbali,ukosefu wa ajira, kuongezeka kwa uhalifu katika jamii n.k sasa biashara ya karne hii ni tofauti na mwanzo kwasababu unapochukua hatua ya utatuzi wa matatizo yaliyopo katika jamii yetu basi utalipwa pesa na watu wanaokuzunguka basi msingi wa biashara ya sasa umesimama katika nguzo ya utatuzi wa matatizo yaliyopo katika  jamii yetu. Tuone mifano ya watu waliofanikiwa kwa kuchukua hatua ya utatuzi wa matatizo katik...